Brikicho-文本歌词

Brikicho-文本歌词

Auline Paul
发行日期:

Nilipokua mdogo

Nilikua msoto

lakini sio kwa mchezo

Marafiki kuwepo

Na wasichana warembo

Wakicheza kalongo longo

Ninakumbuka wakinieka mkubwa

Wa michezo tofauti

Na kushinda kila mja

Kisha nachagua rafiki mmoja

Niliyemshinda

Afunge macho tujifiche

Kisha anasema

Brikicho banture

Brikicho banture

Nikuje Apana

Nikuje Apana

Changlingli chakicha

Changlingli chakicha

Nimeshika mgiriama

Hajapiga tapo tapo

Watoto wangu we weh

Mimi baba yenu weh

Simba ni mkali weh

Aliuwa mamah weh

Ma ndugu zangu weh

Nisikilizeni fanyeni kazi

Mkapate mali

Ninakumbuka wakinieka mkubwa

Wa michezo tofauti

Na kushinda kila mja

Kisha nachagua rafiki mmoja

Niliyemshinda afunge macho tujifiche

Kisha anasema

Brikicho banture

Brikicho banture

Nikuje apana

Nikuje Apana

Changlingli chakicha

Changlingli chakicha

Nimeshika mgiriama

Hajapiga tapo tapo